Kupata Usaidizi kwa Vijana walio katika Tatizo
Madhumuni ya filamu hii fupi ya kidigitali ni kutahadharisha watazamaji wa Minnesota kuhusu masuala ya matatizo ya afya ya kiakili kwa watoto na vijana wadogo, na kutoa taarifa halisi kuhusu mahali na jinsi ya kupata usaidizi kwa vijana wote.
Ili kupata timu ya karibu inayoshughulikia tatizo la afya ya kiakili, nenda kwenye http://www.childcrisisresponsemn.org/. Katika hali inayotishia maisha, piga simu kwa nambari 911.